Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo leo,alipohudhuria katika chakula cha mchana alichoandaliwa mgeni huyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiingia katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Chakula alichoandaliwa Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Tulia Ackson katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo alipohudhuria katika Chakula kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa Mgeni wake Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo leo (kushoto) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majawa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa Dkt Stergomena Tax katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo alipohudhuria katika Chakula kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa Mgeni wake Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo leo (kushoto) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majawa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akita na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Tulia Ackson (kulia) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo katika Chakula kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa Mgeni wake Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akigonganisha glas kama ishara ya kufurahia kinywaji na Mgeni wake Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo katika hafla ya Chakula cha mchana katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salama.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipojumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa Mgeni wake Rais wa Indonesia Mhe.Joko Waidodo leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salama.[Picha na Ikulu] 22/08/2023.
No comments:
Post a Comment