Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini Hati za makubaliano 7 kati ya Tanzania na Indonesia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo na Ujumbe wake  yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia  iliyotiwa saini na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stergomena Tax na Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia Mhe. Retno L.P Marsodi Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia  iliyotiwa saini na Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa Nishati na Madini wa Indonesia Mhe. Arifin Tasrif  Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dr. Venance Bahati Mwasse na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Madini ya PT Mineral Industri Indonesia (PERSERO) Dany Amrul Ichdan Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia  Mhe. Joko Widodo wakati wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Maharage Chande na Rais Mtendaji wa Kampuni ya (PLN) Bw. Darmawan Prasodjo Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya (TPDC) Bw. Mussa Mohamed Makame na Rais Mtendaji wa Kampuni ya  (PERTAMINA) Bi. Nicke Widyawati Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo  akizungumza na Wanahabari wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.