Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" Kati ya Mafunzo na Zimamoto Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao 1-1

Mchezaji wa Timu ya Zimamoto akijiandaa kumiliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar"PBZ Premier League 2023/2024, mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar  wiki iliyopita. Timu  hizo zimetoka sare ya bao 1-1.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.