Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ahudhuria Baraza la Maulidi Ukumbi Idrissa Abdul wakil Kikwajuni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi Idrissa Abdul wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria  katika Baraza la Maulidi Zanzibar akiwa Mgeni rasmi  leo.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiangalia wasoma kaswida Iliyotayarishwa mara  alipowasili katika viwanja vya Ukumbi Idrissa Abdul wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria  katika Baraza la Maulidi Zanzibar akiwa Mgeni rasmi  leo.[Picha na Ikulu] 29/09/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi mna Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kushoto) pamoja na Viongozi wakati akiingia katika   Ukumbi Idrissa Abdul wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria  katika Baraza la Maulidi Zanzibar hafla iliyofanyika leo akiwa Mgeni rasmi.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Viongozi na Mashekhe waliohudhuria katika hafla ya Baraza la Maulid Zanzibar lililofanyika leo patika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Akina Mama wa Kiislamu wakiwa katika mkutano wa Baraza la Maulid Zanzibar lillofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipolifungua Baraza hilo Leo katika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Akina Mama wa Kiislamu wakiwa katika mkutano wa Baraza la Maulid Zanzibar lillofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipolifungua Baraza hilo Leo katika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi cheti cha Shukurani Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu  Zanzibar Sheikh Khali Ali Mfaume wakati hafla ya   Balaza la 2 la Maulid Zanzibar  lililofanyika leo katika Ukumbi Idrissa Abdul wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Maharibi ambapo Viongozi na waislamu mbali mbali wamehudhuria.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akitoa hutuba yake katika Balaza la 2 la Maulid Zanzibar  lililofanyika leo katika Ukumbi Idrissa Abdul wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Maharibi ambapo Viongozi na waislamu mbali mbali wamehudhuria.[Picha na Ikulu] 29/09/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.