Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo
mbalimbali vya Habari kuhusiana na Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa
Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023), Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Septemba, 2023.
Mkutano huo wa Mifumo ya Chakula Afrika unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe
akizungumza na Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya Habari kuhusu Mkutano Mkuu wa
Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023) Ikulu
Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini Dar
es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe.
Suleiman Masoud Makame kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akizungumza na
Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya Habari kuhusu Mkutano Mkuu wa Mifumo ya
Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023) Ikulu Jijini Dar
es Salaam. Mkutano huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam
kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Mhe. Balozi William Shelukindo akizungumza na Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya Habari kuhusu Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023) Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na
Mifugo kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis
akizungumza na Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya Habari kuhusu Mkutano Mkuu wa
Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023) Ikulu
Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini Dar
es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah
Ulega akizungumza na Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya Habari kuhusu Mkutano
Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023)
Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini
Dar es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.
Wahariri pamoja na Viongozi mbalimbali
waliohudhuria Kikao kuhusu Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika
Food Systems Summit 2023) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Septemba, 2023. Mkutano
huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe
05 -8 Septemba 2023.

Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment