RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuwasili
katika viwanja vya Markaz Fisabililah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A”
Unguja kuhudhuria Dua Maalumu ya kuwaombea Viongozi na Nchi, iliyofanyika leo
3-9-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria
Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akitia ubani katika chetezo kwa ajili ya kuaza kwa kisomo cha Dua Maalumu ya kumuombea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi
na Viongozi pamoja na Nchi, iliyoandaliwa na Wanazuoni na Maimamu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja,iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii
Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, leo 3-9-2023 na (kulia kwa Rais) Rais
Mstaafu wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi
MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitia ubani katika chetezo kabla ya
kuaza kwa kisomo cha Dua Maalumu ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi na Viongozi pamoja na Nchi,
iliyoandaliwa na Wanazuoni na Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,iliyofanyika
katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A”
Unguja, leo 3-9-2023 na (kushoto kwake) Mama Siti Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Mhe.Harusi Said Suleiman.
SHEIKH.Mohammed
Bakari akisoma Dua na Kisomo Maalumu cha kumuombea Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, pamoja na
Viongozi na kuiombea Nchi Amani, iliyoandaliwa na Wanazouni na Maimamu wa Mkoa
wa Kaskazini Unguja kilichofanyika katika Masikiti wa Markaz
Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 3-9-2023.
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakishiriki katika Kisomo na Dua Maalumu ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Viongozi pamoja na kuiombea Nchi Amani, iliyoandaliwa na Wanazouni na Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 3-9-2023.MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mama Siti Mwinyi wakijumuika na
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kisomo cha Dua Maalumu ya kumuombea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi na Viongozi pamoja na kuiombea Nchi, iliyoandaliwa na Wanazouni na
Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz
Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 3-9-2023
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakishiriki katika Kisomo na Dua Maalumu ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Viongozi pamoja na kuiombea Nchi Amani, iliyoandaliwa na Wanazouni na Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 3-9-2023.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kumalizika kwa Kisomo
na Dua Maalumu ya kumuombea yeye na Viongozi pamoja na Nchi, iliyoandaliwa na
Wanazouni na Maimamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja iliyofanyika katika Msikiti wa
Markaz Fisabillilah Tablii Kidoti leo 3-9-2023
WANANCHI
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza
na kutowa shukrani zake kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya
kumalizika kwa Dua na Kisomo Maalumu cha kumuombea yeye na Viongozi pamoja na
kuiombea Nchi Amani , iliyoandaliwa na Wanazouni na Maimamu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii
Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 3-9-2023
WANANCHI
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza
na kutowa shukrani zake kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya
kumalizika kwa Dua na Kisomo Maalumu cha kumuombea yeye na Viongozi pamoja na
kuiombea Nchi Amani , iliyoandaliwa na Wanazouni na Maimamu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja iliyofanyika katika Msikiti wa Markaz Fisabillilah Tablii
Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 3-9-2023
No comments:
Post a Comment