Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashiriki sherehe za maadhimisho ya Maulidi ya kuzaliwa Mtume
.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka sehemu mbalimbali Zanzibar kuadhimisha Maulid ya Mfungo sita 1445 Hijria sawa na 2023 Miladia sherehe tukufu ya kuzaliwa na kumuenzi Mtume Muhammad S.A.W iliyofanyika uwanja wa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 27 Septemba 2023.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.