Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akimsikiliza Msanifu Majengo kutoka Chuo Kikuu cha
Ardhi Saul Nkini kuhusiana na hatua mbalimbali za Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa
ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy
Mwalimu kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo
Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu
mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani
Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akipanda mti kama ishara ya kumbukumbu mara baada ya
kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara
tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya
Kanda ya Kusini, Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
No comments:
Post a Comment