Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa alipowasili kwa ajili ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Dar es Salaamu. leo 1-10-2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Daniel Chongolo wakielekea katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Jijini Dar es Salaamu.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma
makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu
ya CCM Taifa, kilichoongozwa na
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dkt.Philip Mpango na Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dkt. Tulia Ackson.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaamu.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungmza na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa, wakiwa nje ya ukumbi
baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,
kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika Jijini
Dar es Salaamu leo 1-10-2023
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa na
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (kulia kwa Rais) Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mhe.Mizengo Pinda, wakiwa katika
tabasamu wakati wakibadilishana mawazo nje ukumbi baada ya kumalizika kwa Kikao
cha Kamati Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Jijini Dar es Salaamu leo 1-10-2023
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri CCM Taifa, baada ya kumalizika kwa Kikao
cha Kamati Kuu kilichofanyika Jijini Dar es Salaamu leo 1-10-2023 na (kulia kwa
Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya cHalmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mjumbe wa Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Mizengo Pinda
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapunduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo, baada ya kumalizika kwa Kikao cha
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Jijini Dar es
Salaamu leo 1-10-2023 na (kushoto kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt. Philip Mpango na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed
Dimwa.
No comments:
Post a Comment