Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" Kati ya Kipanga na Ngome Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Timu ya Kipanga Imeshinda Mchezo huo kwa Bao 3-1

Mchezaji wa Timu ya Ngome akimpita beki wa Timu ya Kipanga katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.
Wachezaji wa Kipanga na Ngome wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanbzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika uwanja wa Mao Zedung.Timu yua Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.

Mshambuliaji wa Timu ya Kipanga akipiga mpira gilini kwa Timu ya Ngome wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibare "PBZ Premier lkeague 2023/2024 " mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.
Golikipa wa Timu ya Ngome akijirabi kuokoa mpira bila ya mafanikio na kufungwa bao la pili na Timu ya Kipanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya Kipanga imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.


Kocha wa Timu ya Ngome akiwa haamini macho yake Timu yake ikiwa nyuma kwa mabao 3-1 dhidi ya Timu ya Kipanga mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.








 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.