Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Safarini kuelekea New Delhi nchini India kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiendelea na kazi wakati akiwa safarini kuelekea Mji wa New Delhi nchini India kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023. Mhe. Rais Samia alitumia usafiri wa Ndege ya Shirika la ATCL ambalo limeanza safari zake kutoka Tanzania mpaka India.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.