Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Ashiriki Katika Maadhimisho ya Siku ya Chakula,Roma Italia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu alipowasili kwenye makao makuu wa shirika hilo kushiriki maadhimisho ya siku ya chakula duniani na miaka 78 tangu kuanzishwa kwa shirika hilo, Rome, Italia Oktoba 16, 2023. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mkutano wa maadhimisho ya siku ya chakula duniani ya Rome, yanayofanyika katika Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO) Italia Oktoba 16, 2023. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mkutano wa maadhimisho ya siku ya chakula duniani ya Rome, yanayofanyika katika Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO) Italia Oktoba 16, 2023. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.