Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Kassim Majaliwa Awasili Peramiho Kushiriki Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo Kuu la Songea

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa jimbo Kuu la Songea,  Damian Dallu alipowasili kwenye kilima cha Peramiho kuwa mgeni rasmi  katika Ibada ya kuadhimisha  Jubilei ya miaka 125 ya uinjilishaji katika Jombo hilo, Oktoba 1, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea,  Damian Dallu  (katikati) na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Gervas Nyaisonga (wa pili kushoto), alipowasili kwenye kilima cha Peramiho kuadhimisha Jubilei ya miaka 125 ya uinjilishaji katika jimbo hilo iliyofanyika katika Parokia ya Peramiho mkoani Ruvuma, 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania , Gervas Nyaisonga alipowasili kwenye kilima cha Peramiho kuwa mgeni rasmi katika Ibada ya Jubilei   miaka 125 ya uinjilishaji katika Jombo hilo.
Maaskofu wakiandamana kwenda kwenye  kilima cha Peramiho  katika Ibada ya kuadhimisha Jubilei ya miaka 125 ya uinjilishaji katika jimbo la Songea iliyofanyika katika Parokia ya Peramiho mkoani Ruvuma, Oktoba 1, 2023. Mgeni rasmi kaaika Jubilei hiyo alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
 (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.