Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza (Amjad) Atembelea Kambi ya Wanafunzi ya Skuli ya Sekondari Chumbuni na Kukabidhi Vyakula kwa Ajili ya Kambi Hiyo

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) akikabidhi vyakula kwa Wanafunzi wa Skuli ya Sekundari Chumbuni wakijiandaa na Mitihani yao ya Taifa inayotarajiwa kufanyika mwaka huu. Na kuwataka kusoma kwa bidi ili kuweza kufanya vizuri katika mitihani yao ya Taifa. 
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) akikabidhi Vyakula mbalimbali kwa ajili ya Kambi ya Wanafunzi wa Jimbo la Chumbuni wakijiandaa na Mitihani yao ya Taifa inayotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) aakimpata maelezo ya maendeleo ya Kambi ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Chumbuni , wakati alipowatembelea Wanafunzi wa kambi hiyo na kukabidhi vyakula  mbalimbali, hafla hiyo iliyofanyika katika Skuli ya Sekondari Chumbuni.

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Chumbuni wakiwa katika makundi wakijisomea na kujiandaa kwa Mitihani ya Taifa inayotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) akiwasalimia Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja, alipofika kuwatembelea na kujionea maendeleo ya Kambi hiyo na kukabidhi vyakula mbalimbali 

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) akiwasalimia Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja, alipofika kuwatembelea na kujionea maendeleo ya Kambi hiyo na kukabidhi vyakula mbalimbali 
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari  Chumbuni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja baada ya kukabidhi vyakula kwa ajili ya Kambi hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) akifurahia jambo na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Chumbuni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja, wakati alipowatembelea na kujionea maendeleo ya Kambi hiyo na kukabidhi Vyakula kwa matumizi ya kambi hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.