Mwakilishi wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2023 kutoka Timu ya KVZ ya Zanzibar Akram Omar Muhina kwa kuibuka mchezaji bora katika mchezo Kati ya KVZ na Jamhuri mchezo uliofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar Timu ya KVZ imeibuka na ushindi wa bao 2-0.
* Mchezaji wa kwanza kufunga Goli Amani Complex
* Mchezaji wa kwanza kufunga Goli kwenye Michuano ya Mapinduzi Cup 2023_2024
* Mchezaji aliefunga Goli la mapema zaidi hadi sasa (Dk' 7)
* Mchezaji mdogo zaidi kufunga Goli Mapinduzi Cup 2023_2024
* Mchezaji wa kwanza mzawa (Zanzibar, Tanzania) kufunga Goli Mapinduzi Cup 2023_2024.
NB:
Baada ya mchezo ameondoka na mzigo wa M1.7
No comments:
Post a Comment