RAIS wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Balozi Stephen
Mbundi alipofika Ikulu Jijini
Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyia katika
Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-1-2024
na (kulia kwake) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Said Shaib Mussa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Mhe Balozi Stephen Mbundi na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Said Shaib Mussa,
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
13-1-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Stephen
Mbundi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-1-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Said Saib Mussa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-1-2024.
No comments:
Post a Comment