Habari za Punde

Mhe. Jamal Akabidhiwa Fomu ya Uwanachama wa ZIAAT

Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali akikabidhiwa fomu ya usajili wa kuwa Mwanachama wa Taasisi ya Wahasibu Wakaguzi na Washauri elekezi wa Kodi (ZIAAT) akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa CPA Ndg. Ame . Shadhil, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar leo 20-2-2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.