RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaliana na Wananchi wakati akiwa katika
ziara ya kutembelea Marikiti Kuu ya Darajani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 26-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali
Mohammed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Marikiti Kuu ya Darajani katika
Soko la Samaki, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
leo 26-2-2024 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea moja ya duka la bidhaa za
vyakula katika Marikiti Kuu ya Darajani, akiwa katika ziara yake Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja leo 26-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wafanyabiashara
wa Marikiti Kuu Darajani Wilaya ya Mjini Unguja katika viwanja vya eneo hilo
darajani baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo
26-2-2024, ya kutembelea Masoko ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
WANANCHI na Wafanyabiashara wa Marikiti Kuu
Darajani Wilaya ya Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na
Wafanyabiashara wa Marikiti Kuu Darajani katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja leo 26-2-2024
No comments:
Post a Comment