Habari za Punde

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi, wakati wa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Ndg.Seif Ally Seif, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo 22-3-2024

WAGENI waalikwa katika futari maalum iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Seif Ally Seif, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasiliamia baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliyofanyika leo 22-3-2024

Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh.Ali Bin Khamis akizungumza na kutowa mawaidha wakati wa hafla ya Iftari d RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Ndg.Seif Ally Seif, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam 22-3-2024

+

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.