Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosoma Fani ya Mechanical Engineering wakifanya Mtihani wa Vitendo jinsi ya kutengeneza Vipuri, hii ni wiki ya pili ya mitihani katika Chuo cha Karume kilichopo Mbweni Zanzibar .
Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosoma Fani ya Laboratory Science and Technology wakifanya Mtihani wa Vitendo kwa Kuangalia muda wa mchanganyiko wa Kemikali inapokamilika , hii ni wiki ya mitihani katika Chuo cha Karume kilichopo Mbweni Zanzibar .
PICHA NA MARYAM KIDIKO – KIST.
No comments:
Post a Comment