Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Suluhu Sports Academy Kizimkazi ,Zanzibar

Michoro mbalimbali ikionesha Taswira ya Suluhu Sports Academy itakavyokuwa mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia kuhusu ujenzi wa Suluhu Sports Academy wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia kuhusu ujenzi wa Suluhu Sports Academy wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza Watoto wa Suluhu Sports Academy wakati wakiimba mara baada ya kuwasili katika eneo la mradi, Kizimkazi Zanzibar 

Viongozi na Wageni mbalimbali waliohudhuria Sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar 
Viongozi na Wageni mbalimbali waliohudhuria Sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.