RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa Hodhi la Kuhifadhia Maji katika viwanja vya Maonesho ya Kilimo Kizimbani
Wilaya ya Magharibi “A”Unguja wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Kilimo ya
Nanenane uliofanyika leo 3-8-2024,na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi
na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Muwakilishi wa
Taasisi ya AATIF Rashid Ali Rashid, kuhusiana na Kilimo cha mbogamboga wakati
akitembelea Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya
Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, aliyoyafungua leo 3-8-2024 katika
viwanja hivyo na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo
,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Ndg.Ali Khamis na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mifugo Muandamizi Bi.
Zehra Karim Zam, akitowa maelezo ya ufugaji wa Kuku, wakati akitembelea banda
la maonesho la Idara ya Maendeleo ya Mifugo Zanzibar, katika maonesho ya Kilimo
ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A”
Unguja. aliyoyafungua leo 3-8-2024 katika viwnja hivyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amemshika Kaa wakati akipata maelezo
ufugaji wa Kaa kutoka kwa Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Khamis Bakar
Khamis, wakati akitembelea banda la maonesho la Chuo cha Mafunzo Zanzibar,
katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, wakati wa ufunguzi
wa Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane aliyoyafungua leo 3-8-2024 katika viwanja
hivyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka jiwe la msingi la Kituo cha Biashara ya Maziwa katika
viwanja vya Maonesho ya Nane Nane Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja,
wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kilimo ya Nanenane, aliyoyafungua leo
3-8-2024, katika viwanja hivyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane
katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A”Unguja, wakati wa ufunguzi
wa maonesho hayo uliofanyika leo 3-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Kitaalamu ya ukaushaji
wa Samaki kutoka kwa Sajenti Eliyas Lumalijo, wakati akitembelea banda la
maonesho la Jeshi la Kujenga Uchumi
Zanzibar (JKU) katika viwanja vya maonesho Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A”
Unguja leo 3-8-2024, wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.
No comments:
Post a Comment