RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wawekezaji wa Mradi wa Hoteli ya Shukran Palace (MADA) alipowasili katika viwanja vya Hoteli hiyo Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo uliyofanyika leo 21-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Shukran Palace Michamvi, kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo uliofanyika leo 21-9-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto) ni Muwekezaji wa Mradi huo Bi.Kiran Mhajan na familia yake, ufunguzi huo uliyofanyika leo 21-9-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja leo 21-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Wawekezaji wa Mradi huo na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff , Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.



No comments:
Post a Comment