RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Haji Ussi Haji Gavu Mwenyekiti
Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa
Kusini Unguja, alipofika nyumbani kwake Kijiji cha Michamvi Msuwakini Wilaya ya
Kusini Unguja, kumtembelea na kumjulia hali yake leo 21-9-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama
Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Haji Ussi Haji Gavu, alipofika nyumbani
kwake Kijiji cha Michamvi Msuwakini Wilaya ya Kusini Unguja leo 21-9-2024,
kumtembelea na kumjulia hali yake
No comments:
Post a Comment