RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Dini na
Serikali, katika hafla ya Dua Maalumu ya kuwaombea Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyoandaliwa na Chuo cha
Msolopa Kilimani “Al Madrasat Swifat Nnabawiyyat Karimah Zanzibar” iliyofanyika
katika viwanja vya madrasa hiyo jana 25-9-2024.




No comments:
Post a Comment