RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia
kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
Mradi wa Fumba Port Zanzibar Awadh Twalib Ali, michoro ya majengo inayotarajiwa
kujengwa katika Bandari ya Mkoani Pemba, wakati wa Uzinduzi wa Meli ya Kwanza ya
Makontena ya Amu 1 ya Kampuni ya Lamu Shipping Limited na Makabidhiano ya
Bandari ya Mkoani, hafla hiyo iliyofanyika leo 30-9-2024
VIKUNDI 49 VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MBULU MJI KUPATA MIKOPO YA MILIONI 168
-
Na Mwandishi wetu, Mbulu
VIKUNDI 49 vya wanawake wajasiriamali waliopo kwenye Halmashauri ya Mji wa
Mbulu Mkoani Manyara, wanatarajia kupatiwa mikopo ya S...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment