Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Ashiriki katika Mazishi ya Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka shada la mauwa kwenye mazishi ya  aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru, kwenye Makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam Novemba 15, 2024.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.