Habari za Punde

WAZIRI MKUU AKABIDHI VIFAA VYA MUZIKI KWA BENDI YA MKURUPUKO YA MBEKENYERA, RUANGWA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akicharaza gita la Bass alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa  Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo, Desemba 29, 2024.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Abdallah Bakari gita la Bass wakati alipokabidhi vifaa vya muzikivyenye thamani ya shilingi milioni 20  kwa  Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo, Desemba 29, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia midundo ya gita la bass lililokuwa likicharazwa na  Abdallah Bakari wakati alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni 20  kwa  Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo,
Wasanii wa  Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa wakitumbuiza wakati  Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye  thamani ya shilingi milioni 20 kwa bendi hiyo katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo,
Baadhi ya wanamuziki wa Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kuikabidhi bendi hiyo vifaa vipya vya muziki vyenye thamani ya shilingi ilioni 20katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera, Desemba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.