MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar,
alipowasiIi katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini
Unguja kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu CCM
Zanzibar, kilichofanyika 14-1-2025 na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar,
alipowasiIi katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini
Unguja kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu CCM
Zanzibar, kilichofanyika 14-1-2025
WAJUMBE wa Kamati Maalumu ya Halmashauru Kuu ya
CCM Zanzibar, wakisoma makabrasha ya kikao kabla ya kuaza, kilichofanyika l14-1-2025, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar,
kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae
pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Zanzibar kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya
CCM Zanzibar, kilichofanyika 14-1-2025 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed
Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.
Mohammed Said Dimwa
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa akisoma ajenda za Kikao cha Kamati Maalumu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kilichofanyika 14-1-2025, katika
ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu
ya CCM Zanzibar, kilichofanyika 14-1-2025, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. 

No comments:
Post a Comment