Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi
wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya
Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry
Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mabalozi wanaowakilisha
nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa
kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2025.

No comments:
Post a Comment