RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Mhe.Celestine Kakele, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga akielekea katika kituo chake cha kazi Nchini Nigeria, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-1-2025
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA CHAMA CHA MADEREVA BODA BODA NA BAJAJI
MKOANI DODOMA
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
WAZIRI wa Madini, ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde
amezindua Saccos ya Chama cha Madereva Bodaboda...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment