Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa Tuzo kwa Mlipakodi Bora wa Mwaka 2023/24 kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa The Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo ya mlipa kodi binafsi mwenye hadhi ya juu, Mmiliki wa Kampuni za Bakhresa Group, Said Salim Bakhresa kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam.

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam. 
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025. 

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.