RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwasili katika bandari ya Tumbatu kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli ya
Sekondari ya Kwanza ya Ghorofa Tumbatu, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya
Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ufunguzi huo uliofanyika leo
4-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Tumbatu alipowasili kwa ajili ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya kwanza ya
ghorofa, uzinduzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika tabasamu wakati akibadilishana
mawazo na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri, wakati
akielekea katika eneo la ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tumbatu, ufunguzi wa
Skuli hiyo uliofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya
Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo
uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari
Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa
ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na
(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud,
Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Mhe.Haji Omar Kheri na Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais)
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa na Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Ali Abdulgulam Hussein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika chumba cha komputa, baada ya
kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumbatu na kuwaangalia Wanafunzi Hussein Aboud
na Nassra Ali, wakijisomea kupitia komputa , ikiwa ni Shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli ya
Sekondari Tumbatu, baada ya kuifungua Skuli mpya ya kwanza ya Ghorofa Tumbatu,
ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa, wakati akitembelea Maabara
ya Sayansi ya Skuli ya Sekondari Tumbatu, baada ya kuifungua Skuli hiyo leo
4-1-2025, ikiwa Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar na (kushoto kwa Waziri) Katibu
wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na
(kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Ali
Abdulgulam Hussein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Omar
Shomar wa Skuli ya Tumbatu Kidatu cha Nne, wakati akitembelea Skuli hiyo baada
ya kuifungua rasmin leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka
61 ya Mapinduzi Matukufu ya ZanzibarMUONEKANO wa Skuli ya Kwanza ya Ghorofa ya
Sekondari Tumbatu iliyofunguliwa leo 4-1-2025 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Skuli ya Kwanza ya
Ghorofa ya Sekondari Tumbatu, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni
Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
WANANCHI wa Tumbatu wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) akihutubia na kuifungua Skuli ya Kwanza ya Ghorofa ya Sekondari Tumbatu, iliyofunguliwa leo
4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar

VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika
hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Kwanza ya Ghorofa ya Sekondari Tumbatu, wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akihutubia na kuifungua Skuli hiyo leo 4-1-2025,ikiwa ni
Shamrashamra za Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Tumbatu wakiimba
wimbo maalumu wa Ufunguzi wa Skuli ya kwanza ya Ghorofa ya Sekondari ya
Tumbatu, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra
za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment