
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya wilaya
ya Handeni iliyopo Mkata mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya
wilaya ya Handeni iliyopo Mkata mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Miundombinu ya Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Handeni iliyopo Mkata mara baada ya hafla ya ufunguzi tarehe 23 Februari, 2025.
No comments:
Post a Comment