Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Bole, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe
14 Aprili, 2025 kwa ajili ya
kushiriki Mkutano wa kawaida
wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Pamoja na mambo
mengine pia Mhe. Rais Dkt. Samia atashiriki mkutano wa Baraza la Amani na
Usalama la Umoja wa Afrika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya
kuwasili Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia, tarehe 14 Aprili, 2025 kwa ajili ya
kushiriki Mkutano
wa kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Pamoja
na mambo mengine pia Mhe. Rais Dkt. Samia atashiriki mkutano wa Baraza la Amani
na Usalama la Umoja wa Afrika.

No comments:
Post a Comment