RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi azungumza na Ujumbe wa Shirika la Umoja wa Mataifa la
Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) uliongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.
Audrey Azoulay (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Kitabu maalumu na Mkurugenzi
Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Mlango wa Zanzibar
mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
5-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akibadilisha mawazo na mgeni wake
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025 na (kulia kwa
Rais) Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe.Ali Jabir Mwadin na (kushoto kwa
Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed
Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa
UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025.
No comments:
Post a Comment