Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wa Pili wa Umoja wa Mataifa wa Utalii wa Vyakula Barani Afrika unaofanyika Ukumbi wa Gran Melia Jijini Arusha. Tarehe 23 Aprili 2025.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na
Viongozi mbalimbali wakishiriki Mkutano wa wa Pili wa Umoja wa Mataifa wa
Utalii wa Vyakula Barani Afrika unaofanyika Ukumbi wa Gran Melia Jijini Arusha.
Tarehe 23 Aprili 2025.

Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wa Pili wa Umoja wa Mataifa wa Utalii wa
Vyakula Barani Afrika unaofanyika Ukumbi wa Gran Melia Jijini Arusha. Tarehe 23
Aprili 2025
No comments:
Post a Comment