RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Zanzibar katika
mazungumzo rasmin na Ujumbe wa Msumbiji ukiongozwa na Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel
Chapo (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Zanzibar katika
mazungumzo rasmin na Ujumbe wa Msumbiji ukiongozwa na Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel
Chapo (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja
UJUMBE wa Zanzibar wakiwa katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmin na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Rais wa
Msumbiji Mhe. Daniel Chapo (hawapo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025RAIS wa Msumbiji Mhe. Daniel Chapo akiongoza
Ujumbe wa Msumbiji katika mazungumzo rasmin na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza ujumbe wa Zanzibar,
katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja
UJUMBE wa Viongozi wa Msumbiji wakiwa katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmin na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Rais wa
Msumbiji Mhe. Daniel Chapo (hawapo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025
UJUMBE wa Zanzibar wakiwa katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmin na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Rais wa
Msumbiji Mhe. Daniel Chapo (hawapo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Zanzibar katika mazungumzo rasmin na Ujumbe wa Msumbiji ukiongozwa na Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya picha ya
mandhari ya Zanzibar, mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo, baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya picha ikionesha
ramani ya Msumbiji,na Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
No comments:
Post a Comment