Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Shirika la
Fedha kwa ajili ya ujenzi la Korea (K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na
ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya Pamoja na Rais wa Shirika
la Fedha kwa ajili ya ujenzi la Korea (K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee, Ikulu
Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.
No comments:
Post a Comment