Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Democratic Party (DP) Mhe. Abdul Juma Mluya. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Sadoun Abrahman Khatib (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 13, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Siasa : Kyara wa SAU Achukua Fomu za Uteuzi INEC kuwania kiti cha Rais
Uchaguzi Mkuu 2025
-
Wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mhe. Majalio Paul
Kyara ...
6 minutes ago
No comments:
Post a Comment