Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amjulia hali Dr. Mabodi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Dr. Abdallah Juma Sadala (Mabodi) aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Mkoani Dodoma. tarehe 22 Agosti 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.