Habari za Punde

Mikutano yaKampeni ya Mgombea Urais kupitia CCM katika Wilaya za Iramba-Igunga

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Iramba katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Singida tarehe 10 Septemba, 2025. 




Sehemu ya Wananchi wa Igunga waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tabora tarehe 10 Septemba, 2025.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.