Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026 Mchezo Kati ya Malindi na KMKM Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0

Mchezaji wa Timu ya Malindi akiwa anamiliki mpira huku wabeki wa Timu ya KMKM wakijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar , mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung. timu hizo zimetoka sare ya 0-0.









No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.