MUFTI WA ZANZIBAR SHEKH. HARIF BIN KHELEF AKIMPOKEA MGENI WAKE MUFTI MKUU WA OMAN SHEKH. AHMEID. AL-HALIL AKITEMBELEA ZANZIBAR KWA ZIARA YA WIKI MOJA NCHINI HAPA AKIPOKELEWA NA VIONGOZI WA DINI NA MASHEKHE WA AFISI YA MUFTI WA ZANZIBAR NA BALOZI MDOGO WA OMAN NCHINI ZANZIBAR MAJID ABDALLAH AL- ABAD KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ZANZIBAR LEO 24-3-2009.
Wahitimu wa St. Mary’s Watakiwa Kujiamini na Kuthubutu Kufikia Mafanikio”
-
Na Mwandishi Wetu
MTHIBITI Ubora wa Elimu wa Wilaya ya Kinondoni, Paschalina Herman Msofeo
amewataka wahitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari...
58 minutes ago
No comments:
Post a Comment