Habari za Punde

FOLENI YA MAGARI IKIWA KATIKA BARABARA YA FORODHANI.

HALI YA ONGEZEKO LA MAGARI KATIKA MJI WA ZANZIBAR INASABABISHA BAADHI YA BARABARA WAKATI WA MCHANA KUWA NA MSONGOMANI WA MAGARI. KAMA INAVYOONEKANA BARABARA YA FORODHANI KWENDA MALINDI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.