Habari za Punde

CHINGA AKITEMBEZA BIASHARA MITAANI.

KIJANA AKITEMBEZA TAA ZA BETRY KUTAFUTA WATEJA WA BIDHAA HIYO AMBAYO HUTUMIKA SANA KATIKA KIPINDI HICHO CHA KUHARIBIKA KWA UMEME, TAA MOJA HUUZA KA SHILLINGI 7500/- KWA MOJA. IKITEMBEZA KATIKA MITAA YA MALINDI ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.