VIJNA WAPIGA DEBE KATIKA BANDARI YA MKOANI PEMBA WAKIGOMBEA ABIRIA KILA MMOJA AKITAKA ABIRIA HUYO APANDE KATIKA GARI YAKE, INAKUWA KERO KWA ABIRIA WA KITUO HICHO HASA WAKATI WA KUJA KWA MELI ABIRIA HUWA WENGI WANAOKWENDA WETE NA CHAKECHAKE KUTOKA ENEO HILO.
Viongozi wa dini Kaskazini wahimiza amani kuelekea Uchaguzi Mkuu
-
Na Mwandishi Wetu, Moshi
VIONGOZI wa dini kutoka mikoa ya kanda ya kaskazini, wamewataka Watanzania
kulinda amani ya nchi, hasa taifa linapoelekea katika...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment