Habari za Punde

LUMBESA HIYO....

UNAPAFAHAMU HAPA WANANCHI HAWA WAKIJIPATIA VITU VYA SAMANI VYA NYUMBANI, MTAA FULANI WA MJINI UNGUJA.
MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE, NDIVYO INAVYOONEKANA WAKITETA VIJANA HAWA WAKIWA NA LUMBESA YA MZIGO WAKIKATISHA MITAA YA DARAJANI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.