Habari za Punde

WATURUKI NDANI YA ZANZIBAR

WATURUKI WAKIWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA SIKU MOJA WAKITEREMKA KATIKA BOTI YA KILIMANJARO WAKITOKEA DAR-ES-SALAAM.
MSAFARA WA WATU KUTOKA NCHINI UTURUKI UKIONGOZWA NA MEYA WA MJI WA ISTANBUL WAKIWASILI KATIKA BANDARI YA KWA ZIARA YA MOJA IKIWA NI UZINDUZI WA SAFARI ZA NDEGE ZA SHIRIKA LA UTURUKI KUFANYA SAFARI ZAKE TANZANIA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.