Habari za Punde

UOKOAJI WA MALI KATIKA MOTO ULIOTOKEA ENEO LA MAKONTENA MBELE YA OFISI ZA CCM KISIWANDUI

Hivi ndivyo ilivyokuwa katika kuokoa mali za wafanyabiashara katika maduka yaliyopata ajali ya moto.
Wananchi wakitoa bidhaa katika moja ya maduka ya Kontena.
Wananchi wakitoa moja ya bidhaa katika maduka ya kontena yalioko eneo la CCM kisiwandui ambyo yaliwaka ba kuharibu bidhaa mbalimbali madukani humo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.